Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Nakumbuka mbunge wetu wa hapa Morogoro na gari lake lile la kuzikia... Abood. Ni jambo zuri lakini tungejikita zaidi kwenye huduma za afya, hapajawahi kutokea mtu kukosa kuzikwa kisa tu hakuna gari, bali wengi wamekufa kwa kutokufikishwa hospitali kwa wakati.
Badala ya gari la kuzikia, aula ingekuwa gari la wagonjwa.
Anandika Dotto Rangimoto
Badala ya gari la kuzikia, aula ingekuwa gari la wagonjwa.
Anandika Dotto Rangimoto