Naombeni msaada jinsi ya kuitoa TBC kwenye Chanel List ya Azam na DSTV

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Habari zenu

Kama kuna anayefaham jinsi ya kuifuta kabisa TBC isionekane hapa kwenye chanel list naomba anielekeze, kiukweli nikiifungua nakosa amani siipendi kabisa nahitaji ipotee kabisa kwenye chanel list zangu.

Naombeni msaaada kwa anayejua.
 

machomanne

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
768
1,000
Wasiliana na maajenti wao waliokuuzia ndio wenye key ya kufunga na kufungua. Si unajua unapochelewa kulipia huwa ina kuwa off hata bila kukutaarifu?.
Pole sana brother, si peke yako uliyechoshwa na stesheni za kipambe.
 

Wa wa

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
1,579
2,000
Nipo mbali na king'amuzi lkn n simple tuu. Ingia setting. Select manage chanels. Tafuta neno hapo juu ya unachokitaka. Italeta rangi ya vitufe na funtion yake kwenye screen yako ambazo zipo kwenye limote yako then utaselect chanel usiyoipenda na kubonya kitufe cha delete kulingana na rangi iliyopo kwenye screen yako. Utakua umeifutilia mbaali
 

Wa wa

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
1,579
2,000
TV ya kibaguzi ya kusifu na kuabudu mfalme.Asante technology anatumia kingamuzi Azam Uganda hapa makao Mkuu ya nchi napata Chanel zote,malipo Uganda shilling.
Mi nilishaifuta zamani sana sinaga muda nayo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom