Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimerudi na Turkish air alfajiri ya ijumaa tar 7 wakati natoka maafisa wa TRA wakanibia weka begi pembeni kwa ukaguzi. Nilikuwa safari ya hardly 3 days na kibegi changu kina kama 10+ kg . Akaja...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa elimu, William Ole Nasha, amekiri Mkuu wa wilaya ya Simanjiro, Mhandisi Zephania Chaula, Katibu Tawala Zuwena Omary na Mkurugenzi mtendaji wa halm hiyo Yefred Myenzi kuwa wameinua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dunia ni ya ajabu sana. Na sisi pia binadamu ni wa ajabu. Kila kukicha tunachokoa mambo mbalimbali. Mengine ni mazuri mengine sio mazuri. Mfano mzuri ni juzi nilipojaribu kuuliza katika post...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalamu wanasema wanadamu hulka zao ni huwa hawataki mabadiliko, yaani mazoea aliyyoyazoea inachukua mda sana kumbadili fikra na kutenda kinyume na mazoea. TRC wana treni wanayoita express...
8 Reactions
44 Replies
7K Views
Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya benki hiyo imefanya tathmini ya mwenendo wa benki hiyo kwa kuzingatia mikakati ya ukuaji ya muda mfupi na muda mrefu KUTOKANA NA UCHAMBUZI HUO WAMEBAINI YAFUATAYO...
2 Reactions
135 Replies
23K Views
Direct to the topic... Wale ambao mmesha tembea vi nchi kadhaa pengine mnaweza kuwa na experience kidogo ambayo mnaweza ku share nasi hapa. Jamani nchi yetu hii watu wana entertain mikopo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wandugu, Thadhari: Sina chuki binafsi Kwa kuanzia tu mkoa wote wa kilimanjaro ni mkoa ambao kweli maendelea yapo, wilaya zote zimeunganishwa na miundombinu yote muhimu, maji umeme...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Wakazi wa jiji la Dar es salaam muda si mrefu wataanza kutumia usafiri wa helikopta kwaajili ya safari fupi fupi ndani ya Jiji hilo. Hongera Uber na Tigo hii ni hatua nzuri.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
IF THIS ISN'T ABNORMAL, I WONDER WHAT IS. Richest Churches in the world. 1- Church of Jesus Christ of Latter-Day Saints- $40 Billion + 2- Catholic Church - $30 billion + 3- Anglican church of...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ushauri tuu! Kwa mtakaosafiri na magari yenu mwezi huu jihadharini sana, ukikuta tairi jipya limedondoka barabarani au begi usiingiwe na tamaa hata kidogo! Kitendo cha kusimama tuu ili upakie...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mgao ule niliouona pale ukumbuni. Na kwa aina ya watu waliopokea vile vitambulisho. Tushishangae wafanya biashara wote Tanzania wanafunga maduka na kuhamia barabarani.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Kimara baruti kuna line ya bomba kubwa la maji limepasuka Siku ya 5 Leo toka tutoe taarifa sehemu usika lakini kimya. serikali inazidi kupata hasara, pia kero kwa wakazi wa haya maeneo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Siasa ni propaganda na propaganda ili ziwe na nguvu inabidi zisokomezwe kwenye masikio ya wengi, na ili hili liwezekane unahitaji team ya watu vijana mahiri wanaojua kuendesha makundi ya...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Yanayo endelea sasa ndani ya Yanga ni Sawa Kabisa na ule mgogoro mkubwa ambapo baadhi ya watu walitumia nafasi zao serikalini kuihujumu timu ya wananchi kwa kuunda timu yao kwanza wakiita Nyota...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Inauma sana pale wakusanya mapato wanavyokuja na kukuta hauna TIN au leseni ya biashara, wanafunga biashara au wanaondoka na wewe, kwani hakuna njia nyingine sahihi ya kumfanya mtu huyu alipe kodi...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Tunaomba mlegeze kamba kidogo, tunaumizana
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtu mmoja amekutwa ameuawa na mwili wake kutupwa vichakani kando kando ya mto Simiyu . Tukio hilo limetokea alhamis tarehe 6/12/2018 katika kata ya Maligisu katika wilaya ya Kwimba.
0 Reactions
18 Replies
47K Views
Hahaha narejea kurekebisha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama ilivyokuwa kwenye post yangu iliyotangulia kuhusu kitabu cha Taasisi ya Elimu: Najifunza Kusoma Darasa la Kwanza Kitabu cha Kwanza, ambacho ndio kimeandaliwa kusambazwa Tanzania nzima kama...
10 Reactions
53 Replies
8K Views
Watu tukilalamika kuhusu sera mbovu za uchumi kuharibu maisha ya watu,kukosekana huduma nzuri za afya,maji ,elimu na kadhalika kukosekana UHURU WA KUJIELEZA,kutamalaki UBABE NA UDIKTETA tunajibiwa...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…