Mnaosafiri Xmas jihadharini na Watekaji

kasanga70

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
212
489
Ushauri tuu! Kwa mtakaosafiri na magari yenu mwezi huu jihadharini sana, ukikuta tairi jipya limedondoka barabarani au begi usiingiwe na tamaa hata kidogo! Kitendo cha kusimama tuu ili upakie unachokiona mbele yako hapohapo ujue umekwisha litaibuka kundi la waasi kutoka mwituni idadi yake itakuchanganya sana! Kitakachojili unakijua! Acha tamaa endelea na safari zako! Ahsante
 
"Hao waasi bila shaka watakua ni wahamiaji haramu toka Ethiopia" In mwigu voice
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom