occipito-frontalis
Senior Member
- May 28, 2017
- 134
- 71
Inauma sana pale wakusanya mapato wanavyokuja na kukuta hauna TIN au leseni ya biashara, wanafunga biashara au wanaondoka na wewe, kwani hakuna njia nyingine sahihi ya kumfanya mtu huyu alipe kodi bila kufanyiwa hayo? Siyo kwamba watu hawataki kulipa kodi, ila utaratibu unaotumika kwa waliokeuka na ndio maana wengi hukimbia
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.