Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,879
- 4,880
Direct to the topic...
Wale ambao mmesha tembea vi nchi kadhaa pengine mnaweza kuwa na experience kidogo ambayo mnaweza ku share nasi hapa.
Jamani nchi yetu hii watu wana entertain mikopo sijapata kuona, yani taasisi za mikopo kila kona tena kwa riba ya juu kabisa, achana na vile vibomu vya rafiki na rafikiye... Hapo hutazungumzia taasisi za mawasaliano, yani mtu anakopa mpaka vocha? This is too much... Sitaki kuamini kama kuna nchi ambayo inaweza kuwa kama Tanzania...
Na ndio maana hata michezo ya kubahatisha inakuwa na wateja sana maana watu naona kama wanapenda vya bure....
Watanzania tumezidi kukopa, yani kati ya watu kumi basi nane wana madeni, kama sio kwa mtu basi kwa taasisi au hata nipige tafu. Why lakini?