mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Hahaha narejea kurekebisha
ndio umeandika nini?Hawa jamaa najua wanatafuta rizki lakin kwa nini kwa kutumia snake? Wanadai wanadawa sijui uhusiano na nyoka Ni ipi...
Binafsi naelewa nyoka na majini Kuna relationship kubwa.....je swali kwa Nini wameibuka now????
Hongera ndugu. Umefanikiwa kutoeleweka......Hawa jamaa najua wanatafuta rizki lakin kwa nini kwa kutumia snake? Wanadai wanadawa sijui uhusiano na nyoka Ni ipi...
Binafsi naelewa nyoka na majini Kuna relationship kubwa.....je swali kwa Nini wameibuka now????
Mwisho2016, Soma kwanza mwenyewe kama utaelewa ulichoandika.Hawa jamaa najua wanatafuta rizki lakin kwa nini kwa kutumia snake? Wanadai wanadawa sijui uhusiano na nyoka Ni ipi...
Binafsi naelewa nyoka na majini Kuna relationship kubwa.....je swali kwa Nini wameibuka now????