REJEA MADA TAJWA HAPO JUU KAMA KUNA MTU ANAUZA GARI TUWASILIANE, BAJETI YANGU NI 4.3M FIXED
mawasiliano zaidi PIGA 0713774626.
NIPO DAR.
Tafadhali piga hiyo namaba itapendeza zaidi kama gari lipo...
Ulikuwa unashika nafasi ya ngapi ulipokuwa unasoma shule?
Kwanza nianze binafsi nimesoma shule ya kata toka darasa la kwanza hadi kidato cha nne , licha ya uzero IQ wangu ile naanza skuli...
Mama wa kibongo anaweza kukuita ukatoe vyombo alivyolia upeleke kwenye sink, Alafu na yeye anainuka unaongozana nae kwenda kunawa huko kwenye sink.
Only kwa wamama wa kibongo
Je tabia gani...
Brazzaville / 10 December 2018: Tanzania is the first confirmed country in Africa to achieve a well-functioning, regulatory system for medical products according to the World Health Organization...
Yani tulicho kosea nchi zinazo endelea ni kujiunga nahizi taasisi za haki za binadamu ndo zinazo tutudisha nyuma, Wakoloni wao waliona wamesha endelea wametumia mababu zetu kiasi hawana shida nao...
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia zimekubalina kuendelea kuimarisha programu za Mpango wa Elimu kwa walioikosa (MEMKWA) na Mpango wa Elimu Jumuishi baada ya Kumaliza elimu...
Hapana shaka ukwepaji kodi katika maeneo mengi bado ni mkubwa sana. Wafanyabiashara Wa maduka kwenye msongamano mkubwa Wa watu kama vile Kariakoo Jijini Dar es Salaam na maeneo mengine kama hayo...
Katika kitabu cha mwanzo kinaeleza kuwa Mwenyezi Mungu alimuumba Adam na Hawa na wao wakawazaa Kaini na Abel.
Kitabu hicho kinaeleza Kuwa baada ya kain Kumuonea wivu nduguye Abel, Alimuuwa...
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ameeleza kuwa, Wanasheria wa Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wataanza kupitia mikataba ya...
Baadhi ya Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu Dar wameanza kuhojiwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa Wanafunzi
Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vitendo hivyo...
Kumekuwa na malalamiko ya kutokupatiwa mishahara kwa wafanyakazi wa kampuni ya NEW HABARI . Yaani kulipa watu stahiki zao imekuwa ni suala la huruma ya mwajiri kwa kigezo cha kampuni kutokuwa na...
Mwaka 1960 serikali ya kikaburu ya Afrika Kusini ilifanya mauaji ya halaiki kwa raia wasio na hatia waliokua wanaandamana kupinga udhalimu wa serikali hiyo kwa watu weusi. Mauaji hayo maarufu...
Lushoto. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema angetamani simu za mikononi zipigwe marufuku kwenye vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini kwa kuwa vinawapotezea muda wa kusoma...
Usipokuwa tayari kusikiliza stori ndogo ndogo za mwanao leo akiwa mdogo, akikua utatamani akwambie mambo yake muhimu lakini hatokuwa tayari. Unayoyaona madogo leo kwa mtoto ni mambo mazito...
Mary Akinyi (45) Raia wa Kenya amefariki huku Mumewe akijeruhiwa vibaya baada simu kulipuka na kuwaunguza, inaelezwa Mary alikuwa akiichaji simu yake ndani ya nyumba na ndipo ilipolipuka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.