Mauaji ya Kinyama!

Mauaji ya Kinyama!

Kyakashombo

Senior Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
166
Reaction score
239
Mtu mmoja amekutwa ameuawa na mwili wake kutupwa vichakani kando kando ya mto Simiyu .
Tukio hilo limetokea alhamis tarehe 6/12/2018 katika kata ya Maligisu katika wilaya ya Kwimba.
IMG-20181206-WA0004.jpeg
 
Sammy wa Super Sumi ilikuwa hivi hivi. Apumzike kwa Amani marehemu
 
Huko Kanda ya ziwa inaongoza kwa unyamaaa

Ova
 
Unaposema "Mauaji ya kinyama" sijui una maanisha nini. Kukuza mambo au ndio nini?? Kama kauawa na wasiojulikana sema; Mtu mmoja auawa na wasiojulikana.
Chumvi hazisaidii. Anyway; R.I.P. marehemu
 
Hapo katikati ya miguu hizo Ni Pakiti za Mipira Dume (Kondomu)
 
Back
Top Bottom