Ndugu Rais,
Naiona kesho yetu iliyopangwa na Baba. Kesho ya heshima iliyopangwa na Baba. Kesho ya neema, kesho yetu ya ushindi liyopangwa na Mungu. Sitaki kuitazama leo yetu.
Leo yetu ni ya...
Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi.
Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa...
Wadau habari za asubuhi!
Naombeni ushauri kwa anaefahamu ni hivi passport yangu ina majina. manne niliomba kitambulisho cha Taifa kwa majina yote manne ila kilivyotoka...
Kumekuwepo na dhana kuwa Wamarekani hawajawahi kabisa kutua kwenye mwezi. Watu wanaamini kwamba picha zinazoonyesha wanaanga wa Kimarekani wakiwa mwezini ni za kutengenezwa. Dhana hii pia iko...
Ndugu zanguni ni baraka kubwa kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa mbali mbali na kuwafariji ni dhahiri Mwenyezi Mungu atakuongezea malipo katika hilo wanasiasa ni kipindi cha kwenda kuwapa moyo...
Kuna mtindo siku hizi naona sasa umekua mazoea, Siku za nyuma huko mnamo waka 2006 mtu alikua akiibiwa sim, mwizi hutoa laini na kuendelea na simu anako.kujua yeye.
Umekuja wakati wa hapa njaa...
Hitimisha la siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Mtandao wa Polisi wanawake Kiteto kwa kushirikiana na dawati la jinsia na watoto, wazazi, wanafunzi na walimu wa Compassion limefanyika kwa...
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro, Yefred Myenzi amesema, elimu iliyotolewa kwa wazazi na walenzi wa jamii ya kifugaji (Masai) imepunguza wanafunzi wa kike wanaorubuniwa...
Ulimwengu mzima kuanzia dini ya uwongo,mifumo ya kisiasa yenye ufisadi,mifumo ya kibiashara yenye pupa yaani kupata hela ya haraka haraka yote iko chini ya ibilisi.kwa hiyo shetani na roho wake...
FACTS CHACHE KUHUSU MAISHA.
By Malisa GJ,
1. Watu wengi wanaojitapa kuwa wana fedha nyingi, ukweli ni kwamba hawana fedha. Wenye fedha huwa hawajitapi. Huwezi kumuona Bill Gates akijiita ‘don’...
IQ test for free
IQ test IQ scale IQ score Emotional Intelligence test IQ chart
Average IQ by Country Famous people IQ What is IQ?
Home
IQ test
IQ test
Advanced IQ test
Notice:
1. This test...
Hello JF!
Leo ningependa kushare nanyi na tutafakari pamoja juu ya utamaduni huu umaarufu wa jamii ya watu wa kaskazini mwa Tanzania hasa mkoa wa Kilimanjaro. Wakazi wa eneo hili Kila ufikapo...
Tazama ramani utaona Nchi nzuri yenye mito, na mabonde mengi ya nafaka.!
Je wimbo huu ulitungwa na nani..? Mwaka gani? Na je mtunzi wa wimbo huu amepewa hadhi na heshima gani katika Taifa letu...
UKISIKIA aibu, fedheha na dhihaka subiri ufumaniwe! Usiombe tukio hilo likutokee, endelea kusikia stori kwa watu.
Lakini maumivu zaidi ni pale utakapogundua kuwa kufumaniwa kwako ni mchezo...
Wakuu,
Mwenye kujua hatua ambazo mtu inabidi azifuate zote ili anunue na kumiliki silaha binafsi (bastola) bila kuvunja sheria anijuze.
Maana ulinzi ni muhimu.
Watanzania tuna mambo ya hovyo sana.
Yaani kila sherehe lazima huyu mnyama afe na usipoangusha mbuzi aliyenona unaonekana siyo.
Ni lazima tule mbuzi kila part ? Mbuzi ana makosa gani au ndo kafara?
Hili jambo la wanafunzi wanaotaka kusoma elimu ya juu kunyimwa mkopo mimi silielewi kabisa.
Mkopo wa pesa ni pesa ambazo mtu anakuazima kwa makubaliano ya kwamba utazirudisha kulingana na...
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshwaji wa kutoa leseni za udereva na kusema jambo hilo limesababishwa na mabadiliko ya mfumo wa utoaji leseni ambao hivi sasa...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Miezi zaidi ya miwili iliyopita,mlikusanya maoni ya sisi Wadau/Wananchi wanyonge kabisa kupitia barua pepe na barua za kawaida juu ya namna ambavyo Makampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.