Mzuqa
I hate this mentality and conceptshen. Yani nachukia kutoka moyoni wala sidanganyi. Sometimes ninauhakika huwa wanatania hawako serious.
Eti wanavyodai hawa ndiowanawake maarufu wenye...
KITENGO cha Biashara cha Mahakama Kuu, kimemwamuru mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake wanne kuilipa Benki ya Biashara ya Taifa (NBC) Sh. bilioni 33 kutokana na mikopo na madeni mbalimbali...
Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu,
yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu.
Akifikia umri wa miaka 40, makucha yake...
Baadhi ya wamiliki wa hisa za kampuni ya Vodacom wameanza kuuza hisa zao kwa bei ya shilingi 750
Bei hiyo ni hasara ya shilingi 100 kulinganisha bei walioitumia kununulia hisa hizo
Hisa hizo...
Serikali ya awamu ya tano inajitahidi katika kuboresha huduma za jamii...Hiyo ndiyo hali halisi ya muonekano wa stand mpya katika wilaya ya Korogwe mkoa wa Tanga.
Kumbe Bata siyo maarufu kwa wanasiasa tu bali hata wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.
Katika promo hii Nmb watakupeleka Dubai kula bata.
Source ITV habari!
Maafa ya mvua kaya 336 zakosa makazi mmoja apoteza maisha na majeruhi 49 katika wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa
KAYA 336 katika kijiji cha KIPETA na KILYAMATUNDU Kata ya KIPETA wilaya ya...
Askari wa Usalama Barabarani wilayani Korogwe mkoani Tanga, ambaye jina lake halijafahamika, anatuhumiwa kumpiga dereva wa basi la Tahmeed Coach baada ya kumkamata kwa mwendokasi.
Kamishna...
Huyu mama anakumbukwa kama waziri wa hovyo katika wizara ya utumishi kuliko waziri yeyote kupata kutokea
Sote tunafahamu chenga walizokuwa wakipiga yeye na Magufuli katika nyongeza za mishahara...
Ninao ushahidi TTCL ukijiunga 3GB Hapo unaambulia 2.4GB hili nalo kama sio uwizi ni nini? Kwa TCRA na FCC hamlioni hili ? Sio Mara ya kwanza TTCL wanalalamikiwa lakini TCRA na FCC mko kimya.
Imefika wakati wa kuwatambua waendelezaji wa lugha ya kiswahili kimataifa. Nipo naangalia na mtoto cartoon ya Lion Guard channel ya Disney Junior, ni ya kiingereza wanajitahidi sana kuweka maneno...
Published on: Monday, December 10th 2018
By Special Correspondent – THE Government of Tanzania has confirmed that access to essential drugs has currently been strengthened, explaining that vital...
Published on: Monday, December 10th 2018
By Special Correspondent – THE Government of Tanzania has confirmed that access to essential drugs has currently been strengthened, explaining that vital...
Wakuu kwema?
Niende moja kwa moja kwenye maada,
Zanzibar imekua ikipokea vitu vingi vilivyotumika (used) kutoka sehemu mbali mbali , used assets zinatoka Dubai, UK n.k ,
Mfano wa vitu used kuna...
Mtu mmoja ambae hakufahamika jina lake, amedondoka nje ya hospitali ya wilaya ya kigamboni (VIJIBWENI) majira ya saa 12 asbuhi ya leo tarehe 11 dec 2018, Mashuhuda wa ndani walidai mgonjwa huyo...
Taaruki na usumbufu mkubwa umetokea visiwani zanzibar baada ya mamlaka ya mapato zanzibar kuifungia kampuni ya mtandao wa tigo kutoa huduma zake katika ofisi zake zote zilizopo zanzibar...
Wakuu habari za jioni
Hivi kauli ya jiwe kuwa yule mfanyabiashara mwenye mtaji usiozidi million 4 asibugudhiwe na mamlaka husika, mimi naona haijakaa vizuri. Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa...
Swallamah wakuu,
Maisha ni safari ndefu leo nimetimiza miaka 10 toka nisaini mkataba wa ajira hapa ninapofanya kazi, na cjawahi kujuta kufanyia kazi hapa.
Ngoja niende moja kwa moja kwa point...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.