Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Watanzania tuna mambo ya hovyo sana.
Yaani kila sherehe lazima huyu mnyama afe na usipoangusha mbuzi aliyenona unaonekana siyo.
Ni lazima tule mbuzi kila part ? Mbuzi ana makosa gani au ndo kafara?