Zipi hatua za kufuata katika kununua personal gun?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,048
Reaction score
3,418
Wakuu,

Mwenye kujua hatua ambazo mtu inabidi azifuate zote ili anunue na kumiliki silaha binafsi (bastola) bila kuvunja sheria anijuze.

Maana ulinzi ni muhimu.
 
Nenda Tanganyika Arms kule Posta na watakupa taratibu zote maana huenda utaratibu wa zamani umebadirika baada ya awamu ya viwanda kuingia ndani ya nyumba. Basically unachagua kitu unayopenda, unailipia, unaicha palepale na unapewa receipt na forms flani ambazo zitaanza kujazwa kwenye serikali ya mtaani kwako

Kuna ka process karefu kidogo mpaka kamati ya usalama ya wilaya lazima ijadiri. Unaweza kupata clearance in one month or one year. All the best.
 
Unataka kua Mmojawapo ya "Watu Wasiojulikana"??
 
Nenda Tanganyika Arms kule Posta na watakupa taratibu zote maana huenda utaratibu wa zamani umebadirika baada ya awamu ya viwanda kuingia ndani ya nyumba. Basically unachagua kitu unayopenda, unailipia, unaicha palepale na unapewa receipt na forms flani ambazo zitaanza kujazwa kwenye serikali ya mtaani kwako

Kuna ka process karefu kidogo mpaka kamati ya usalama ya wilaya lazima ijadiri. Unaweza kupata clearance in one month or one year. All the best.
Anhaa. Ngoja nifanye mchakato nipate ulinzi
 
We hujui chochote kuhusu hili?
sio sana Nijuavyo kuna taratibu za kufuata kwa hiyo ni vyema ukaenda kuulizia Jeshi la polisi na taasisi fulani hivi inaitwa ''Tanzania arms'' sijui..hivyo ndio nijuavyo
 
Mambo ya polis jamii siyo.mhimu kujihami mkuu.maana jeshi letu la polisi linalinda sana mikutano ya kisiasa isifanyike.muda wa kulinda wahalifu umechuliwa na kuwalinda wanasiasa wasije fanya mikutano
 
Basi sawa... Ni mawazo mazuri ya kuanzia
 
Mambo ya polis jamii siyo.mhimu kujihami mkuu.maana jeshi letu la polisi linalinda sana mikutano ya kisiasa isifanyike.muda wa kulinda wahalifu umechuliwa na kuwalinda wanasiasa wasije fanya mikutano
Ndo inabidi tujilinde wenyewe sasa
 
Back
Top Bottom