Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi


brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,660
Likes
4,285
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,660 4,285 280
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment Inst-video-1.mp4
 
abdi ally

abdi ally

Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
44
Likes
63
Points
25
abdi ally

abdi ally

Member
Joined Dec 4, 2018
44 63 25
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na happy wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.
Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi? Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili
Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani
View attachment 957913
ITAFAHAMIKA TU
 
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
4,077
Likes
2,466
Points
280
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
4,077 2,466 280
Wafunge tu coz hali imebadilika sana. Online tv zimekuwa nyingi mno,blogs, forums na vikorokoro kibao. Wakati huu unahitaji ubunifu wa hali ya juu sio mazoea. Zamani Radio kubwa zilikua Radio one, RFA, RTD. Leo hii kila kona kuna Radio na zinakimbiza. Tukubali hali imechange sana na TUKUBALI KUBADILIKA.
 
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Messages
3,303
Likes
5,884
Points
280
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2012
3,303 5,884 280
Wafunge tu coz hali imebadilika sana. Online tv zimekuwa nyingi mno,blogs, forums na vikorokoro kibao. Wakati huu unahitaji ubunifu wa hali ya juu sio mazoea. Zamani Radio kubwa zilikua Radio one, RFA, RTD. Leo hii kila kona kuna Radio na zinakimbiza. Tukubali hali imechange sana na TUKUBALI KUBADILIKA.
Huwezi kubuni kwenye hamna jamaa yangu!
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,376
Likes
6,254
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,376 6,254 280
Industry ya TV kwa sasa ni ngumu sana hakuna mwenye kupumua hadi kampuni kongwe zimeanza kushusha gharama,kukua kwa teknolojia nako ni balaa lingine watu wanapata habari mapema kupitia other sources.
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
7,790
Likes
15,012
Points
280
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
7,790 15,012 280
Wafunge tu!
Nakumbuka tundu lissu alisema hili mapema kama tuungane kukosoa ila hawa clouds hata press conference za lissu walikuwa hawaripoti!

Leo wameguswa wao ndio wanashtuka!!
 

Forum statistics

Threads 1,237,059
Members 475,401
Posts 29,276,883