Ni kwanini mbwa hawaozi meno kama binadamu?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,349
Nimekaa na kujiuliza swali hapo juu, maana kila kukicha ukienda kwa hospital hasa vitengo vya tiba ya meno unakutana na kundi la binadamu wakiwa katika kupata huduma ya meno.

Lakini kwa hawa viumbe kama vile mbwa ambao ukiangalia vizuri kinywani mwao utaona meno meupeeeee peee .

Nilitegemea na wao wawe na matatizo ya meno kuharibika kama ya watu wenye akili timamu (binadamu) kwani mbwa nao wanatumia vyakula sawa na atumiavyo mtu.

Karibun kwa mchango
 
Kwa sababu wao hawali vitu vyenye sukari, wao wanakula sana nyama
 
Back
Top Bottom