Kwanini nchi nyingi ' Tajiri ' zina Majeshi machache lakini imara, ila zile ' Masikini ' zina Wanajeshi wengi wasio na ' Tija ' yoyote?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,454
108,563
Kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajibiwa Swali langu na nitaridhika basi ni hii ya leo hasa kutokana na kwamba hili jambo limekuwa ' likinisumbua ' sana kwa muda mrefu baada ya Kujiridhisha kwa ' Utafiti ' wangu mdogo tu juu ya hoja ya Mada / Uzi husika hapo juu katika Kichwa cha Habari.

Nawasilisha.
 
Weka vuzuri kichwa hakuna mwanajeshi asie na tija yeyote mkuu
 
Toa takwimu acha kuongea usivyovijua, taja nchi yoyote duniani inayoizidi Marekani idadi ya wanajeshi,

Halafu suala la idadi ya askari, inategemea na nguvu ipi ya kamandi ya nchi husika ndio primary operational command, nchi nyingi za Afrika zinatumia land forces ambapo basically lazima kuwe na idadi kubwa ya wanajeshi.
 
Mkuu punguza fix, marekani ina wanajeshi millioni mbili, china ina wanajeshi milioni moja na nusu, india ina wanajeshi millioni moja , Russia ina wanajeshi millioni moja na ushee

Ila wenzetu huwa hawatumii kigezo cha wanajeshi wengi kama tija ya kuonea watu, wao wanawanajeshi wengi lakini wana jeahi imara lenye teknolojia ya hali ya juu ambalo halitii hasara nchi maaana jeshi lenyewe linauezo wa kujitengenezea silaha zao , majeshi ya wenzetu yanatumiwa kwa mission za kuiletea faida nchi na sio kuonea raia, kama marekani na russia wanayatumia majeshi yao kama kafara ya kuokoa uchumi wa nchi zao, angalia kule syria Russia alivyojaza wanajeshi, angalia marekani alivyopoteza wanajeshi wengi kule Iraq
 
Hilo jamaa linajua kuropoka tu, yaani linaishi kwa kudhania badala ya kutafuta ukweli
Anashindwa hata kugugo nchi zenye wanajeshi wengi

Kuna wajinga humu wanamuamini
Mkuu punguza fix, marekani ina wanajeshi millioni mbili, china ina wanajeshi milioni moja na nusu, india ina wanajeshi millioni moja , Russia ina wanajeshi millioni moja na ushee

Ila wenzetu huwa hawatumii kigezo cha wanajeshi wengi kama tija ya kuonea watu, wao wanawanajeshi wengi lakini wana jeahi imara lenye teknolojia ya hali ya juu ambalo halitii hasara nchi maaana jeshi lenyewe linauezo wa kujitengenezea silaha zao , majeshi ya wenzetu yanatumiwa kwa mission za kuiletea faida nchi na sio kuonea raia, kama marekani na russia wanayatumia majeshi yao kama kafara ya kuokoa uchumi wa nchi zao, angalia kule syria Russia alivyojaza wanajeshi, angalia marekani alivyopoteza wanajeshi wengi kule Iraq
 
Kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajibiwa Swali langu na nitaridhika basi ni hii ya leo hasa kutokana na kwamba hili jambo limekuwa ' likinisumbua ' sana kwa muda mrefu baada ya Kujiridhisha kwa ' Utafiti ' wangu mdogo tu juu ya hoja ya Mada / Uzi husika hapo juu katika Kichwa cha Habari.

Nawasilisha.
Kasome shule ya msingi ukimaliza uje tukuambie.
 
Toa takwimu acha kuongea usivyovijua, taja nchi yoyote duniani inayoizidi Marekani idadi ya wanajeshi,

Halafu suala la idadi ya askari, inategemea na nguvu ipi ya kamandi ya nchi husika ndio primary operational command, nchi nyingi za Afrika zinatumia land forces ambapo basically lazima kuwe na idadi kubwa ya wanajeshi.

Sijaona ' Hoja ' yako yoyote hapa sana sana naona ' Upupu / Upuuzi ' tu mtupu. Bado nasimamia nilichokiandika katika Kichwa changu cha Habari hapo juu tafadhali.
 
Wana wanajeshi wengi ili kuwalinda walioko madarakan, kupunguza tatizo LA ajira maana bila kuwa na ajira vijana nchi nying maskin ingekuwa ni fujo tu

Nikiambiwa mpaka sasa hivi nichague ' Members ' ninaowaona uwezo Wao wa Kutafakari mambo na kwenda mbali zaidi na asiye na Mawazo Mgando / ya ki ' Mbute Mbute ' basi haraka sana ningekuchagua Wewe. Huwa napenda mno kukutana na JamiiForums Members ambao wanajua Kufikiri, Kuona tatizo na Kutafakari mambo / masuala hasa mtambuka.
 
sipo kwa ajili ya kukushawishi wewe ambaye hujui lolote juu ya mambo kama haya.

Back
Top Bottom