Kipindi Cha 360 Cha Clouds Fm , Jikiteni kwenye Mambo Ya msingi , Ninyi sio mamlaka ya kuteua viongozi kiasi muwe na hadhi ya kuwashindanisha.,

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,958
28,438
Hawa jamaa sasa wanavuka mipaka.
Hamna mandate kisheria ya kuandaa shindano la wateule wa Rais.
Endeleeni kuhabarisha na kuburudisha watanzania.
Kwani hapo kwenu wengine sio watangazaji kwa kua mnajipima kwa vipaji na sio taaluma ya uandishi wa habari.
Itoshe sasa msitishe hilo shindano lenu kwani ubora wa wateule wa Rais anaufahamu yeye aloyewateua na kuwapangia majukumu msitake kuingilia kazi za mihimili mingine ya dola.
 
Mbona mnaogopa ogopa namna hii?

Hivi mnalalaje?

Mpaka 2020 iishe mtakua mmepata chronic insomnia!
 
Back
Top Bottom