Kitambulisho cha Vladimir Putin akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
1544609212736.png

1544611944193.png

Kitambulisho cha Vladimir Putin (MBABE WA VITA) akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani

Idara ya ujasusi ya Ujerumani Mashariki ilifahamika kama Stasi, lakini kwa kirefu ni Ministerium für Staatsicherheit kwa maana ya maajenti wa Wizara ya Usalama wa Taifa.

Kitambulisho cha Stasi alichokitumia Putin kimegunduliwa wakati wa uchunguzi kuhusu ushirikiano wa karibu uliokuwepo kati ya KGB na Stasi.

Putin ambaye wakati huo aikuwa na cheo cha meja katika KGB alipewa kitambulisho hicho kwama 1985 na kilimuwezesha kuingia kwenye afisi za Stasi, lakini si lazima iwe kwamba alifanya ujasusi kwa niaba yao.

Kupitia taarifa iliyotolewa Jumanne, maafisa wa Wakala wa Nyaraka za Stasi (BStU) walisema Bw Putin "alipokeza kitambulisho hicho ili kumuwezesha kufanya kazi zake za KGB kwa ushirikiano na Stasi."

Majasusi wa Stasi walifahamika sana kwa njia zao kali za ujasusi na jinsi walivyowapeleleza raia wa kawaida.

Wakati mwingine waliwalazimisha watu wa kawaida kutoa habari kuhusu raia wenzao, hata wa karibu.

"Utafiti wa sasa haujatoa ishara zozote kwamba Vladimir Putin alifanyia kazi Stasi," taarifa ya BStU imesema.
 
View attachment 965699

View attachment 965740

Ujue kuna maraisi wengine hata wakiwa madikiteta sawa maana wamefight sana na wana rekodi ndefu ya mambo ya ujasusi, vita (mapigano) kama akina Mseven , Kagame, Mugabe, Putin nk....lakini. unakuta wengine hawajawahi kuws hata Mgambo nao eti wanataka waonekane madikteta....shiiit
 
Jiwe
 
Putin ngoma ngumu....
Syo mwingine anajiita jasusi wkt hajawahi pitia suluba yyte

Ova
 
Back
Top Bottom