Msaada: Funguo wa gari imepotea nitatengeneza vipi

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
705
Reaction score
1,853
Wadau funguo ya gari aina ya suzuki carry imepotea hivyo naombeni msaada ni maeneo gani naweza kwenda kutengeneza funguo mpya kwa hapa Dar na process zake ..

Carry ni model aidha ya 2001 au 1997 sijatizama vizuri.

UPDATES

Nimefanikiwa kutengeneza funguo mpya kwa kufuata ushauri wa Mrangi .Fundi Kileo kanisaidia ndani ya nusu saa nimepata ufunguo kwa gharama ndogo 20,000.

Asanteni wadau kwa michango na ushauri.Asante Jamii forum
 
Mkuu wachonga funguo wa magari au hata hawa wa milango...kama ni tofauti na wa milango..kuna sehemu wazijua kiongozi
Hata mm ningekuchongea mbn!
Ww uko wapi njoo pm nkupe namba ya mzee kileo yuko opposite na mwqnamboka manyanya kna mwingine yuko sinza kwa Remy ila namba yake sina
Njoo nkupe namba ya mzee mmja master sana dk 5 tu ashakutolea kitu

Ova
 
Nenda kariakoo kanunue funguo za gari yako kwa 5000 tshs kisha watafute wataalam watakuchongea, bei maelewano. Kwamfano: kama gari yako Toyota Noah unanunua za t/noah. Kaz ya muda mfup tu wanakuchpngea ila lazima aione gari (Kufuli/kitasa)
 
Sawa kiongozi nimekupata vilivyo shukran..
 
Hata mm ningekuchongea mbn!
Ww uko wapi njoo pm nkupe namba ya mzee kileo yuko opposite na mwqnamboka manyanya kna mwingine yuko sinza kwa Remy ila namba yake sina
Njoo nkupe namba ya mzee mmja master sana dk 5 tu ashakutolea kitu

Ova
Nimekupata vilivyo
 
Wadau funguo ya gari aina ya suzuki carry imepotea hivyo naombeni msaada ni maeneo gani naweza kwenda kutengeneza funguo mpya kwa hapa Dar na process zake ..

Carry ni model aidha ya 2001 au 1997 sijatizama vizuri.
Nakumbuka pale maeneo ya ubungo mataa (kushoto kama unatoka kimara)kuna majamaa wamekaa na huwa wanachonga maana juzi kati hapa nimetoka kuchonga hapo za gari la ofisi zilikatika
 
Wadau funguo ya gari aina ya suzuki carry imepotea hivyo naombeni msaada ni maeneo gani naweza kwenda kutengeneza funguo mpya kwa hapa Dar na process zake ..

Carry ni model aidha ya 2001 au 1997 sijatizama vizuri.

Nenda MANJI KEY mtaa wa Zanaki ni specialist wa siku nyingi.
 
Gharama Yake Ni sh 5000 kwa john Ottaru uchumi house opposite NA Hongera bar Sinza
 
Back
Top Bottom