Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 820
- 917
Kwa muda wa miaka 5 mitano kuwa hapa jukwaani,nimejifunza mengi na kuongeza maarifa kwa kusoma mada mbalimabli katika majukwaa mbalimabli,wanamember wote waanzilishi wa mada mbalimbali wamekuwa walimu muhimu kwangu.Najivunia kuwa huku kwa watu makini na wastarabu.