Hii namba ya simu.

Hii namba ya simu.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,781
Reaction score
31,298
Ni +68630121842 huwa inanibeep kila siku.Ni ya wapi? Nimeuliza ktk mtandao naotumia hawana majibu sahihi.
Asante
 
Pole sana mkuu hyo namba ina Uhusiano na namba za kuzimu. Kama imetokea zaid ya mara moja kuwa makini pia jua Shetani /Lucifer is Around you. Pray and Fast ndio itakua msaada wako 2
 
Duuh
 
Na kama utakuwa unatumia fb,basi kwenye profile yako umeweka picha ya mwanamke,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oman kuzim? mkuu punguza iman potofu

Back
Top Bottom