Jamani hivi nikukosaUmakini au nikuhemka? Hawana Proof Reading skills kabla ya kuweka kwenye media? Inakuwaje kitu kikubwa kama hiki kikasoewa na bado hakuna aliyekuja kuomba mSamaha? Je Huyo...
TANESCO week ya tatu mnatukatia umeme asubuhi mnarudisha saa moja jioni kasoro line ya kiwanda cha wazo tu. Tena hata hamtoi taarifa kila week mnakata tu yani week nzima msipokata ni siku tatu...
NHC kwenye Bill payment system yenu boresheni yafuatayo;
1.Mngeweka kwenye website yenu njia mpya ya kulipia hizo bills zenu kupitia control numbers... wengine tupo maporini lakini ni wapangaji...
Uswahilini ninakokaa kuna vituko"
Vyuma vimekaza mtu sina kazi naishi maisha ya kuunga unga wee ila siku zinaenda
Sasa waswahili wanajaribu kunichimba hawaelewi elewi naishije mwishoni wanaanza...
Kwa sababu ukiajiriwa unakua kama unamsindikiza boss wako kwenye mafanikio yake kwa sababu unapigania kibarua chako kisiote nyasi wakati huo huo unapigania mafanikio yako.
ieleweke kua hakuna...
Vijana wetu wanatumia muda mwingi wakiwa mashuleni na bado wanahitimu pasipo na uelewa wa kutosha. Mpango wa kusoma elimu ya Sekondari kwa miaka miwili ni mpango kombozi kwa vijana.
Nakushauri...
Habari za leo, naomba nieleweshe cha kufanya hapa, kuna ndugu yangu yupo UK alikua anani tumia pesa kwa kutumia WORLDREMIT lakini cha ajabu katumiwa email hivi, hapo anatakiwa afanyaje.
Dear...
Kuna mita za Tanesco ambazo huwa zinazima zenyewe na ili ziwake ni mpaka tanesco wenyewe wakupe namba maalumu ya kufungulia.
Hv ni sababu gani zinazopelekea mita hzi kuzima? Ukizingatia kwangu...
Kwa namna mambo yanavyoenda ni bora turudi kwenye mfumo wa ujamaa, maana naona upande wa pili mgumu kila kitu kigumu, MwenyeziMungu ibariki Tanzania, MwenyeziMungu ibariki Afrika
Ndege ya Shirika la Ndege la (ATCL), Airbus A220-300 ikiruka kwa mara ya kwanza kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Montréal-Mirabel (YMX) nchini Canada
Mzuqa wanajamvi!
Naombeni msaada wenu wa mawazo. Nimejaribu google nipate jibu nimeshindwa sijui title ya kusearch haikuwa sahihi?
Kila mara najiuliza kwanini watalii huko south Africa wakienda...
Nimepokea ujumbe ufuatao kutoka whatsapp na umenifungua akili sasa ni kwanini serikali kupitia BOT Au Waziri husika wapo kimya
Ujumbe wenyewe
“Habari Mtanzania mwenzangu,
Leo nataka...
Wadau nafuatilia uzinduzi wa Channel ya Utalii, kuna mambo yananichanganya hapa sielewi yanafananje nankutofautiana vipi
1. Mapori ya akiba
2. Hifadhi
3. Mbuga za wanyama
Nini tofauti ya TANAPA...
Hili nalo ni wazo hasa majira haya ya yakuelekea uchumi wa kati wa viwanda.
Utakuta harusi nyingi zinatumia gharama kubwa, tangia sendoff mpaka harusi yenyewe, wakati zingine hata hazidumu. Siku...
Nimeamua kuandika kipande cha waraka huu kutokana na kuwepo kwa dhana nyingi potofu juu ya wachagga kwenda kwao kipindi cha mwisho wa mwaka, maarufu kama "kwenda kuhesabiwa".
Je ni kweli wachagga...
Mtu mmoja amefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi kampuni ya Air Bus lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea Tanga kupinduka majira ya saa tatu usiku katika eneo la Maseyu mkoani Morogoro...