TANESCO; Tegeta tumewakosea nini?

TANESCO; Tegeta tumewakosea nini?

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,101
Reaction score
5,442
TANESCO week ya tatu mnatukatia umeme asubuhi mnarudisha saa moja jioni kasoro line ya kiwanda cha wazo tu. Tena hata hamtoi taarifa kila week mnakata tu yani week nzima msipokata ni siku tatu.
Mnakwamisha juhudi za viwanda maana mfano mimi kiwanda changu cha juice hakifanyi kazi kwakuwa mashine za kusaga matunda siwezi zitumia.
mabucha nyama zinaharibika, viwanda vidogo vya kuzalisha barafu majumbani a.k.a friji havifanyi kazi.
Hivi kwa style hii si mnamhujumu raisi kwa kukatakata umeme si mtangaze kabisa kama kuna tatizo la mgao eboo mnaboa sana
 
Pole sana mkuu kwa usumbufu uliojitokeza..!!!!! Ni kwamba kuna matengenezo yanaendelea karibu jiji lote la DSM na uboreshaji wa miundombinu yetu ndo maana unaona kuna kukatika kwa umeme mara kwa mara
 
Na usirogwe ukajaribu kuweka generator hapo kwako,kodi ya Generator itakuhusu hapo.
Hivi mkuu kuna kodi yua generator? Mdiyo nasikia leo mkuu hiyo kodi ni ya nini sasa maana kama ni uchafuzi wa mazingira hiyo kodi imo kwenye mafuta
 
Mm nmejaribu kukuelewesha tu kama unaona kushusha povu ndio itakuwa solution ya kutokukatika kwa umeme we shusha tu povu kwa maana mikono mali yako unaeza kuandika chochote unachotaka
 
Hivi mkuu kuna kodi yua generator? Mdiyo nasikia leo mkuu hiyo kodi ni ya nini sasa maana kama ni uchafuzi wa mazingira hiyo kodi imo kwenye mafuta
Hahah tayari hio mkuu,kuwasha generator mpk uombe kibali mkuu.

Wanachotaka wao ni kukusanya pesa tu mkuu.
 
Mm nmejaribu kukuelewesha tu kama unaona kushusha povu ndio itakuwa solution ya kutokukatika kwa umeme we shusha tu povu kwa maana mikono mali yako unaeza kuandika chochote unachotaka
Hivi inaweza pita mwezi bila umeme kukaika? miundombinu uwa mnatengneza kila siku basi muwe mnatoa taarifa mtatuunguzia vitu mara unarudi haipiti dakika unakata tena sometimes tena hili limekuwa tatizo sasa umeme unashtuka yani ka unakata withini a second unarudi kwa siku sometime inatokea hata mara tatu. Mnatutia hasara mjue kuna sku imeniunguzia chaja zote za simu na deck, jrani kingámuzi na chaja jirani mwingine TV, subwoofer na friji
 
Hahah tayari hio mkuu,kuwasha generator mpk uombe kibali mkuu.

Wanachotaka wao ni kukusanya pesa tu mkuu.
Aisee hii sasa kali hakuna anayetaka kutumia generator wala solar shida umeme ambao hauaminiki
 
Hahahaaa....!!!!! Pole sana mkuu lkn hapa sio mahali pa kutolea malalamiko yako... Nakuwa na mashaka kdg na ww kwa sababu hekima kwako imepita mkono wa kushoto.
 
Yani mpaka muda huu umeme hawajarudisha na hawana taarifa yoyote ile,nchi yetu sote kwa nn wanatutesa lakn?
 
Hahahaaa....!!!!! Pole sana mkuu lkn hapa sio mahali pa kutolea malalamiko yako... Nakuwa na mashaka kdg na ww kwa sababu hekima kwako imepita mkono wa kushoto.
Wewe ndiye ninakuwa na mashaka kwako humu kuna mwakilishi wa TANESCO na uwa anasaidia watu humu humu akiona thread huenda we ni mpya wa social media. Kila kampuni kubwa ina customer care service mtandaoni. Kwa mfano mimi nikiwa nina shida na Mpesa, Tigo pesa CRDB nitawafuata kwenye page zao za FB na uwa wanajibu haraka sana kuliko hata kupiga simu same applied to makampuni makubwa kama payoneer, skrill, western union, paypal wote wako active huko kuliko kuwatafuta kwa njia za kawaida. Mimi ndiye nakushangaa wewe
 
Pole sana mkuu kwa usumbufu uliojitokeza..!!!!! Ni kwamba kuna matengenezo yanaendelea karibu jiji lote la DSM na uboreshaji wa miundombinu yetu ndo maana unaona kuna kukatika kwa umeme mara kwa mara

TANESCO wanapaswa watoe taarifa kwa wateja wao hasa ukitilia maanani ni matengenezo ya kupangwa siyo dharula.
 
Hamna umeme hadi leo maeneo ya tegeta hadi kunduchi meko na jkt, sijui tatizo nn, tangu jana TANESCO
 
Back
Top Bottom