Bora turudi katika mfumo wa ujamaa

Bora turudi katika mfumo wa ujamaa

occipito-frontalis

Senior Member
Joined
May 28, 2017
Posts
134
Reaction score
71
Kwa namna mambo yanavyoenda ni bora turudi kwenye mfumo wa ujamaa, maana naona upande wa pili mgumu kila kitu kigumu, MwenyeziMungu ibariki Tanzania, MwenyeziMungu ibariki Afrika
 
Kwa namna mambo yanavyoenda ni bora turudi kwenye mfumo wa ujamaa, maana naona upande wa pili mgumu kila kitu kigumu, MwenyeziMungu ibariki Tanzania, MwenyeziMungu ibariki Afrika
Upande wa pili upi mkuu maana kwa sisi wazinzi tukisikia hilo neno tunawaza mbali mno
 
Nyerere alishindwa......
China na urusi Nani kakuambia wanafata Sera za kijamaa....
Sahv mkisema mfate lile azimio la arusha tu hamuliwezi.....

Ova
 
Back
Top Bottom