Huu ni unyanyasaji kwa wanyama.acheni uzwazwa!

Huu ni unyanyasaji kwa wanyama.acheni uzwazwa!

mvaa viatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
350
Reaction score
522
Huyu dereva sijui anaakili gani?hivi unawezaje kumsafirishwa mnyama hivi?wala hamfikirii kama nayeye anaumia?hapo atapita vituo vyote vya ukaguzi wala hatoulizwa,hivi hakuna sheria zinazozuia kubeba wanyama kama hivi?na sheria za barabarani vipi hapo?maana polisi wa barabarani wala hawadili na vitu kama hivi.tena gari ya serikali alishindwa nini kumuweka nyuma ya viti?pumbavu kabisa huyu
Screenshot_20181215-092004.jpeg
 
Kuna watu hawanaga huruma kabisa
Hats kama huko anakopelekwa anaenda kuchinjwa bado haihalalishi kumtesa kiasi hicho.
 
Watu wanawehuka na sikukuu hata hawakumbuki maisha ya wengine, hata kama anaenda kuchinjwa inatakiwa ayafurahie maisha yake wakati akiwa hai, yaani anaanza kutiwa hofu mapema kabla hajafikia hatua ya kuchinjwa huu ni unyanyasaji wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom