Ngorongoro ni conservation area.
Maana yake multiple activities za masai na wanyama kuishi mahali pamoja.
NATIONAL PARK zilizo chini ya TANAPA ni natural wildlife sanctuaries.
such as serengeti,mikumi,ruaha,saadani etc.
Selous game reserve ni eneo wanyama walihamishiwa kutoka sehemu nyingine ndio maana ya game reserve.in additional selous kuna baadhi ya maeneo unaruhusiwa kuwinda unlikely sio kama national parks ambazo huruhusiwi hata kuchuma nyasi yake.
Pia kuna game controls ambazo huitwa vitalu hizi huwa za watu binafsi wanakatiwa kibali chake kwa huwinda humo ndani ya vitalu vyao kama ilivyo LOLIONDO GATE.