Kuna mita za Tanesco ambazo huwa zinazima zenyewe na ili ziwake ni mpaka tanesco wenyewe wakupe namba maalumu ya kufungulia.
Hv ni sababu gani zinazopelekea mita hzi kuzima? Ukizingatia kwangu hakuna shoti!
Juzi tuu imeanza huu mchezo wa kuzima nikapewa namba ya kufungulia baada ya kama siku 5 toka nilivyoripoti kwao. Leo imezima tena.
Je! Kuna ambaye amepitia dhahma kama yamgu na akaipatia ufumbuzi wa kudumu?