KIBESENI
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 360
- 351
Hili nalo ni wazo hasa majira haya ya yakuelekea uchumi wa kati wa viwanda.
Utakuta harusi nyingi zinatumia gharama kubwa, tangia sendoff mpaka harusi yenyewe, wakati zingine hata hazidumu. Siku mbili tatu utasikia imevunjika.
Mimi kibeseni nashauri, Serikali ingeangalia upya katika siala la kukusanya kodi kwamba harusi hizi nazo wangekuwa wanakusanya kodi.
Na kungewekwa kiwango maaluumu cha kikomo cha kola anayetaka kufanya harusi yakigahari mwisho iwe hata milioni.lakini utakuta sherehe ya harusi mpaka milioni kumi nk.
Huu ni uharibifu wa pesa. Na si harusi tu iwe kote hata kwenye kipaimara ubatizo hata mahafari.
samahani sio mwandishi mzuri, ila mawazo mazuri