Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Vijana wetu wanatumia muda mwingi wakiwa mashuleni na bado wanahitimu pasipo na uelewa wa kutosha. Mpango wa kusoma elimu ya Sekondari kwa miaka miwili ni mpango kombozi kwa vijana.
Nakushauri ujiunge na mpango huu kwani kijana anatumia muda mfupi kusoma na hivyo mpango huu nauona kama ni kusoma kwa malengo. Karibu Broad Vision Open School uonje majanikio.
Nakushauri ujiunge na mpango huu kwani kijana anatumia muda mfupi kusoma na hivyo mpango huu nauona kama ni kusoma kwa malengo. Karibu Broad Vision Open School uonje majanikio.