NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Asubuhi sana ya Jana nimeona nimkimbize mother ubungo mkoa akamate Basi za mbeya.
Nikiwa pale ubungo nasubir kukunja kuelekea stand, ghafla nikaona Changu mmoja akiwa kwenye Daladala ya Tabata Mwenge,kitambo tu nilipumzika naye kutoka Bar moja pale Liverside..
Atii nipo na mama na ccta yangu baada ya kuniona akaanza kupiga kelele atii "nimekufumania leo kumbe upo na kimwanamke chako,bahati yako Gari zimeruhusiwa ningeshuka nikuashie moto"
Jaman najua kabisa kwa mida ile ya saa 11 .30 asubuhi alikuwa anarudi kwenye kazi ilele...
Nauliza tu kumbe na nyie machangu doa huwa mnawivu duuu!! Sijawahi fikiri