Kuna habari imetawala televisheni za nje kwamba mlima Oldonyo Lengai una dalili ya kulipuka volcano hivi karibuni!

NyaniMzee

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
396
727
Kuna habari imetawala televisheni za nje kwamba mlima oldonyo Lengai una dalili ya volcano eruption hivi karibuni!

Naona Vyombo vyetu vya habari havina habari hio

======

Tanzania's Ol Doinyo Lengai shows early sign of eruption

Ol Doinyo Lengai is the only known active volcano with a type of lava that can move faster than a person.
by Catherin

A volcano in northeastern Tanzania is showing signs it may erupt.

The Ol Doinyo Lengai - called the 'Mountain of God' by the Masai people - is the only known active volcano with lava that can move faster than a person.

It's now threatening nearby villages and three major sites of early human development.

Al Jazeera's Catherine Soi reports from the foothills of Ol Doinyo Lengai.

Source: Al Jazeera
 
Kuna habari imetawala televisheni za nje kwamba mlima oldonyo Lengai una dalili ya volcano eruption hivi karibuni! Naona Vyombo vyetu vya habari havina habari hio ! Pathetic

Source: Aljazeera Newshour 1:00 pm: December 9, 2018
Chombo kipi?TBC1 inatangaza habari za majukwaani kusifia mikopo tunayopata, tuu vingine haviruhusiwi kuwa na taarifa ya habari
 
Kuna habari imetawala televisheni za nje kwamba mlima oldonyo Lengai una dalili ya volcano eruption hivi karibuni! Naona Vyombo vyetu vya habari havina habari hio ! Pathetic

Source: Aljazeera Newshour 1:00 pm: December 9, 2018
Vyombo vyetu iliamriwa vizimwe, tutasikia wapi ?
Hakuna siku niliumia kama île nilipokua nafuatilia update ya kuzama kivuko cha mv nyerere kupitia UBC tv (uganda)
 
Tumekusikua tunatekeleza embu tufanye hesabu na tathimini within less a week tutachukua hatua sahihi...
 
Back
Top Bottom