Shime Member wa JF: tutembelee mradi wa SGR kwa pamoja.

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,149
12,818
Habari wana Jamvi..!
Leo nimeamka na hili wazo binafsi, Kwa pamoja naomba Member wa Jamii Forums tutembelee mradi wetu wa Standard Gauge tukajionee maendeleo yake sehemu zote mpaka Kilosa ambapo milima inachorongwa na lengo la treni ipite katikati ya milima.

Nafikiri tutajifunza vitu vingi katika mradi huu.

Napenda kupendekeza zoezi lisimamiwe na Maxence Melo ,
Mshana Jr, Pascal Mayalla na
FaizaFoxy

Naomba kuwasilisha.
Ahsante.
 
Asante japo nimechelewa kufika, nikishafika na nikaweka post hapa kuhusu compaction, post ambayo gazeti la Jamhuri waliichukua na kuitoa front page... Kwa sasa sishauri kwenda huko mambo sio shwari... mnaweza kwenda msirudi kwenyu bali kwenye majengo ya sirikali
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom