Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

As written: Why is once-peaceful Tanzania detaining journalists, arresting schoolgirls and killing opposition leaders? The bad news: among other human rights abuses, the Tanzanian government is...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Kiingereza kuna msemo...between the rock and a hard place na kwa tafsiri ya haraka haraka katika Kiswahili msemo huu una maana ya kuwa kati ya mwamba na eneo ngumu. Usemi huu unaashiria hali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa taasisi ya Msichana Initiative, Rebeca Gyumi ametunukiwa tuzo ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2018. Gyumi ni mwanaharakati wa muda mrefu nchini Tanzania ambaye...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Sh20m fine for every kilo of expired meat Wednesday December 19 2018 In Summary A new crackdown on the quality and standard of meat and dairy products...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ipi ni njia ya rahisi ya kupata pasipoti ya kusafiri kati ya hizi VIAMBATO MAHSUSI KULINGANA NA AINA YA SAFARI A. SAFARI ZA BINAFSI 1. Uthibitisho wa shughuli za mwombaji, 2. Barua ya mwaliko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na Mmomonyoko wa maadili katika familia nchini Tanzania kumetajwa kuwa ni sababu kubwa inayopelekea kuongezeka kwa ukatili dhidi ya watoto wa kiume na wakike walio chini ya umri wa miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na mazingira Pascal Mayalla kaamua kuwa mwanafalsafa. Katikati ya jua kali la mchana kaamua kutembea na kandili mkononi inawaka. Kuna Wengine wanadhani kawa chizi, wengine wanaona kama...
5 Reactions
15 Replies
804 Views
Hello JF, Nilishawahi kuleta thread,kuwe na scholarships programs(sijui kama zipo)..zinazolenga ku stimulate minds za walioko vyuoni kuja na mawazo ya kutoa ajira kwa wengine....hii sio tu...
1 Reactions
7 Replies
938 Views
December 2018 Presentation : Analysis of The Tanzania New NGOs Regulations of 2018 (amendments ) source : WATETEZI TV Habari ya ziada : Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini (THRDC)...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
mtoto wangu amechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani lakini nataka kufanya mishe nimuhamishie ifunda tech je bado shule hii ina skills za ufundi zile zile za zamani? Wenye kufahamu tujulisheni
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kampuni ya ndege ya Fastjet ilianza kazi rasmi katika uwanja wa Julius Nyerere tarehe 29 November 2012 kwa kuanza na route 2 yaani Dar Mwz na Dar Kil mpaka kufikia route 6 ndani ya nchi na route 7...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
..hii ilikua uwezezeshaji kwa vijana kupatiwa mikopo..enzi hizo...na bw Regnald Mengi ndiye alikua msimamizi mkuu.(kumbukumbu zangu) . ..je we kuna vijana wowote unawajua walioendelea kupitia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Muwe na siku njema.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Nataka sumu ya kuuwa kunguru kwani wanamaliza vifaranga wa kuku wangu pamoja na kunipa usumbufu mwingi!
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habarini wadau wa fikra pevu,naomba ni declare interest kuwa mi simuandishi mzuri wa mtiririko wa story ila naamini muhimu ni kuelewa nini namanisha. Nianze kwa kusema...kwa miaka miwili mfululuzo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
PureLife Tap Maji safi ni nini? BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Serikali imeanza kutoza faini ya Sh20 milioni kwa kila kilo moja ya nyama iliyopita muda wake wa matumizi kwenye hoteli au maduka makubwa ya bidhaa maarufu kama supamaketi. Faini...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Wiki sasa zimepita tangu tuondokewe na baba yetu kipenzi, bado siamini kama sitaweza kukuona tena maishani ingawa najitahidi kumuomba Mwenyezi mungu anijaalie subra na aniepushe na kufuru hususani...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu yangu husiusemee moyo na kuamini kila kitu wengine wanafki... Wanakusifia sana kumbe wanataka vyeo...na mitaji.. Anadai anakupenda kumbe anataka pesa zako tu... Mapenzi ya kweli yako primary...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi.... Sekunde zinapotea,dakika zinapotea,masaa yanapotea,siku,wiki,mwezi,mwaka tunapambana tusonge mbele kiuchumi,kisiasa,kijamii ndio maana tunapambana tujitoe kwenye utumwa wa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom