MY JF MEMBER OF THE YEAR 2018

MY JF MEMBER OF THE YEAR 2018

dorin

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2010
Posts
267
Reaction score
286
Pascal Mayalla Makofi tafadhali

Mtakaosema nsjitongozesha ni poa tu kwasababu ni haki yangu pia

Mshana Jr worth mention

@mzeemwanakijiji sijui kimemsibu nini kwasasa kuna mijadala mizito kuzidi hasira za kumksribisha Lowasa Chadema lakini mzee kimya sana

Nayamisi mapweinti ya huyu mzee hatari

Hivi ni kweli alinunuliwa na yanga kutoka simba?
 
Msinisahau...walahu humu.

Maaana sijawahi kuandikwa hata na monitor wa darasa mazee
 
Kwa MMU naona huyu dogo muuza kiepe kaongoza kwa sired nyingi.
Ni zero IQ.
MMU sijawahi tembelea Mimi siasa zimeniharibu kabisa. Natamani kusikia habari za Korosho EU US sijui Mashoga vitambulisho vya wamachinga Mbowe segerea sijui Azori MO Siprian Musiba kuunga mkono Juhudi stigglers SGR Acasia

Yaaani nashindwa kumaliza
 
Hivi mnaanzia wapi kuni sahau mimi..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom