Sumu ya kuuwa kunguru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumu ya kuuwa kunguru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akthoo, Feb 21, 2012.

 1. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 524
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Nataka sumu ya kuuwa kunguru kwani wanamaliza vifaranga wa kuku wangu pamoja na kunipa usumbufu mwingi!
   
 2. S

  Shansila Senior Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekulia wapi?Ungekulia kijijini usingeuliza hili swali.
   
 3. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,061
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  weka kipade cha nyama ufunge na kamba ya uzi
   
 4. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 524
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Ahsante Zepipo.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,464
  Likes Received: 3,350
  Trophy Points: 280
  Tengeneza banda nzuri la vifaranga na usiwaache wakizagaa ovyo!
   
 6. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 524
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Kuuliza si ujinga! Haijalishi umekulia wapi? Watu wako ferry na hawajui kuogelea!
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,015
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Fuata ushauri huu
   
 8. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 524
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Pia huo ushauri. Ahsante.
   
 9. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,300
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  unaweza kuwapaka dawa ya mkeka hao vifaranga, na ukawaachia wakatembea na wasiliwe, hiyo ni nzuri sana. jaribu
   
 10. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiv hufahamu kama kunguru nae ana haki ya kuishi?Na tena MUNGU ametuagiza kutisha ndege,wanyama na vyote vyenye uhai?Mbaya zaid kama maliasil watakufahamu.
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,608
  Likes Received: 3,724
  Trophy Points: 280
  Dah kuwaua inabidi uwamalize wote ndio tatizo litaisha..........nenda ofisi za WCST wanatoa mitego ya kunguru ambayo ina sumu maalum ndani yake......muone ndugu Nyiti (WCST wako mkabala na Ubalizi wa Msumbiji baada tu ya PP Tower upande wa kulia kama unaenda Baharini)
   
Loading...