Pascal Mayalla kaamua kuwa mwanafalsafa!!

Pascal Mayalla kaamua kuwa mwanafalsafa!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
26,028
Reaction score
51,308
Kutokana na mazingira Pascal Mayalla kaamua kuwa mwanafalsafa. Katikati ya jua kali la mchana kaamua kutembea na kandili mkononi inawaka.

Kuna Wengine wanadhani kawa chizi, wengine wanaona kama anajivuna kwa kuwa ana Kandili iliyotengenezwa kwa shaba, dhahabu na fedha, na wapo wazomeaji wa kila jambo la kila mtu hata kama hawajui ni kwa nini wanazomea!

Siyo kila mtu anapenda kuwa kama kina Shadrack, Meshak na Abdnego!

Nguruvi3 BAK Daudi Mchambuzi Mag3
 
I see
images.jpeg
 
...alafu kuna wakati alikuwa anakimbiza teuzi.
Huu ni ugonjwa unaosumbua watu wengi sana na kusababisha kutelekeza misimamo yao ya zamani. Ukiona msomi kama Julius Mtatiro anahama chama kwa maelezo kwamba anaona watoto wadogo wanateuliwa wakati yeye yupo tu anapambana upinzani, ujue kuna shida mahali kwenye jamii yetu.
 
Back
Top Bottom