Mtanzania Rebeca Gyumi, ametunukiwa tuzo ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2018

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Mkurugenzi wa taasisi ya Msichana Initiative, Rebeca Gyumi ametunukiwa tuzo ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2018.

Gyumi ni mwanaharakati wa muda mrefu nchini Tanzania ambaye hasa amekuwa akijishughulisha kutetea haki za wanawake na watoto na ameshinda tuzo hiyo sanjari na wenzake watatu.

Tangazo la ushindi wake lililotolewa kupitia mtandao wa Twitter na Rais wa Baraza la Umoja wa Mataifa, Maria Fernanda Espinosa ambaye pia alitumia fursa hiyo kuwapongeza kwa harakati zao za kusukuma mbele haki za binadamu.

Washindi wengine ni Asma Jahangir mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Pakistan ambaye alipoteza maisha mwaka huu.

Halfa ya utoaji wa tuzo hiyo ambayo kihistoria ilianza kutolewa mwaka 1973, itafanyika Disemba 10 nchini Marekani.

Katika harakati zake,mwaka 2016 Gyumi alishinda kesi ya kihistoria ya kupinga sheria ya ndoa ya mwaka 1971 nchini Tanzania ambayo inaruhusu wasichana wenye umri wa miaka 14 kuolewa.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rebeca Gyumi alitumia fursa ya ushindi wake kuwashukuru watanzania ambao walimiminika mtandaoni kumpongeza.

Mungu amzidishie ameleta sifa kwa taifa letu
 
Mtetezi wa kuandika andika aje front uku a one watoto wa dogo wanozeshwa na uongozi wa serikali ya kijiji, mitaa mpaka kata wanajua ukijifanya mjuaji asubuhi uamkia kati kati ya ziwa ukiwa ndani ya mtubwi
 
I don’t know the reason why but when EAcis mentioned my mind is in the first three original EA countries.

Yeah if you talking about the EAC community, then will take eons before a woman leads any on us, Kagame is actually imprisoning them, in Tanzania 2015 election there was some woman touring the country in the name of seeking votes. In Kenya, don't even get started, we slap them....hehehe..ask some Kidero.
Uganda and Burundi...there even other men can't get a chance.
 
Well I’m not surprised even Americans chose Trump over Hillary. In Europe things are different. Angela Marckle has been there for a while now. Great Britain had Margaret Thatcher and now Theresa May.

I remember Cherries Blair was crtisized when she appreciated government bursary that enabled her to achieve higher education. She finished that by saying I could have been a sales girl in a shop.

Female shop workers went bananas 😂
 
Americans refused to elect Hillary Clinton because of many other reasons, but none of it had to do with her gender. Actually she is said to have won, but some crappy methodology didn't favor her. In short, Americans chose her, but the system elected Trump......hehehe ngumu kumeza.
However, here in EAC, woman you really have to learn and practice all sort of dirty games to get up there, including laying some men....ooops!!!
 
Back
Top Bottom