Utafiti mdogo wa maandalizi na shamrashamra za Christmas 2018 na mwaka mpya 2019

Dec 18, 2018
25
40
Habarini wadau wa fikra pevu,naomba ni declare interest kuwa mi simuandishi mzuri wa mtiririko wa story ila naamini muhimu ni kuelewa nini namanisha.
Nianze kwa kusema...kwa miaka miwili mfululuzo ya kijiutafiti changu cha kizushi kusiana na mandalizi ya sherehe maarufu Tanzania na duniani kiujumla kama si ulimwenguni na si nyingine bali ni sikukuu za Christmas marufu kama x-mas na new year au mwaka mpya kwa apa niishipo kusini mwa Tanzania ambao zao lenye kisirani na chuki kama sio roho mbaya ambalo namba moja kaagiza Jwtz walishughulikie kwa maagizo yake kuhusiana na shamra shamra vifijo ndereko na vicheko ambalo huambatana na kilele cha sherehe hizo.
Utafiti huu wa kizushi wenye maana tele kwa kutathimin hali ya vipato vya wananchi wetu ambao uendana na matumizi makubwa katika kipindi hiki cha sherehe tajwa.na utafiti huu umejikita zaidi katika awamu hii ya tano ya serikali yangu kama ajitambulishavyo mshika mpini,kihualisia ni hali ya mdororo wa mandalizi ya mwananchi mmoja mmoja,tasisi za binafsi na umma pamoja na wafanya biashara wakubwa na wadogo wadogo kwa uku kwetu kwa wale mashangazi wetu tulioambiwa wataanzwa wao kuchapwa wa kiranja mkuu wengine tufuate.Tukaheshimu mamlaka.
Kiukweli ata mitaani na kwenye mabaa,majumbani,sizickiii zile nyimbo tena za kina jingle jingle bell maarufu kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka,ata ndugu zangu wachaga wa huku simckii ata mmoja akizungumzia xmas anaenda kwa shangwe za miaka 10 ya nyuma kwa uzoefu wangu wa mikoa mbali mbali tz.....
Yale maua ua ya m xmax na happy new year yanayoning'niaga majumbani maofisin na kwenye mabar siyaoni kabsaa mpaka tarehe ya leo 19 ikiwa imesalia siku tano mpaka tukio lenyewe lianze......
Utafiti huu umebezi kwa mikoa yetu ya uku kusini kupitia uzi huu ningependa ndugu wanavamvi kila mmoja kwa upande wake alipo alete tathmini ya maandalizi ya sherehe hizi tajwa kulinganisha na miaka mitano mpaka mitatu iliopita na hali halisi kibiashara,kimandalizi kiujumla......
Nikuache na hili"nilienda kwa mshikaji wangu mmoja ye ni mtumishi wa umma wa kada ya muta muraa kaa chini nikamuliza ndug we ni kanda ya kaskazini nyie mnapendaga kipindi hiki mnackiliza nyimbo zenu zile jingo jingo sijui za kina jimmy rizy cekin dione na wengineo muwajuayo akashtuka na kunioneshea ishara ya shiiiii yaani kaa kimya watoto wakisikia wataanza kunidai nguo za sikukuu afu mi mambo tite duuuh nkashangaa mtumishi wa serikali ya awamu ya tano kada ya kuzuia maandamo ya aquilina naye analia njaa je sisi ambao mpaka saivi miti yetu ya korosho inaesabiwa kuhakiki mavuno yetu yanaendana na uzalishaji na kama huna shamba imekula kwako atujui tutalipwa lini yaani duuuh.........


Naombeni mrejesho huko kwenu pakoje mandalizi ya awamu ya viwanda wapendwa na x-mas end happ nyuu yiaaaa


Free from mental slavery
 
Ingawa sio shabiki mkubwa wa comedian Edo Kumwembe lakini nimeguswa kidogo kipande cha bandiko Lake eti ""South Africa republic(nchini Afrika kusini) ifikapo December ya kila mwaka watumishi wanapewa mshahara mara mbili"

Binafsi imenigusa kidogo
 
Sherehe zote kipindi hiki ni kwa walevi tu !watakaa baa wakaoshe xhimpumu midomoni kwa bia mbili wakalale!
Mambo kwisa haribika baba atamwambia wife awaambie watoto kuwa nimesafiri kwa hiyo sikukuu mpaka baba arudi .
Mzee unarudi saa saba usiku na kuondoka saa 11 asubuh kukimbia watoto mpaka sikukuu iishe no nguo mpya wala pilau!
 
Ingawa sio shabiki mkubwa wa comedian Edo Kumwembe lakini nimeguswa kidogo kipande cha bandiko Lake eti ""South Africa republic(nchini Afrika kusini) ifikapo December ya kila mwaka watumishi wanapewa mshahara mara mbili"

Binafsi imenigusa kidogo
Kuna Kampuni moja ya kikaburu sorry ya waholanzi waliofukizwa ulaya zamani wanatoa mishahara miwili mwezi desemba bongo hii hii wanaita 13 month .....sina lakuongeza zaidi
 
Back
Top Bottom