Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Watekaji wajulikana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ
0 Reactions
– Replies
– Views
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu...
1 Reactions
3 Replies
265 Views
Wanawake wanaojiuza hupewa majina mabaya. Kama malaya, changudoa, vicheche, milupo na mengineyo. Wanaume ambao ni wanunuzi huonekana ni wajanja wa wa 'tauni' wanaojua chimbo zote za wajasiriamili...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Fasheni imegeukia makalioni kwa mabint, show off mitandaoni lazima ajibinue, mtaani lazima ayabane na kanga, zamani walikuwa wanaliazimishwa ila siku hizi anakuambia mwenyewe na usipomuomba...
28 Reactions
255 Replies
6K Views
Anonymous
Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Habari za muda huu wanajf , Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
Nimekaa na kutafakari maisha ya mawakili wetu vijana nchini hawa tunaowaita wakili msomi. Siku hizi fani hii imepoteza hadhi yake kiasi kwamba vijana wengi mtaani wanaiona kama kazi ya kawaida tu...
5 Reactions
5 Replies
270 Views
Mt 28:12-13 SUV [12] Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi, [13] wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa...
1 Reactions
0 Replies
113 Views
Sipo hapa kuleta ligi. Mimi ni mkristo, kuwa mkristo haimaanishi hutakiwi kunifunza au kuuliza. Nauliza nijue ili kuamini zaidi badala ya kuamini juu juu tu. Sihitaji kujua HOW(jinsi gani) hayo...
5 Reactions
21 Replies
317 Views
Hii hela kuna mtu anataka nimpe kama ana kazi nazo mimi nimekaa nazo tu muda wote
2 Reactions
1 Replies
89 Views
Upelelezi wa Jeshi la Polisi ulifanikiwa kuwaokoa wahanga hao tarehe 16 huko maeneo ya Mbezi Beach Kinondoni. Watekaji waliwatake na kudai ndugu wawapw Dola za Kimarekani Milioni moja 20 ili...
2 Reactions
2 Replies
186 Views
Leo Lucas kaanzisha Thread anasema Mama amebadilisha maisha ya Watanzania Mimi nikamjibu kwa picha kumuonesha maisha ya Watanzania Sasa hizi ni picha za Mbeya, nimemwonesha akauona umasikini...
5 Reactions
24 Replies
491 Views
Habari wakuu? Je kwa muktadha huu ni nini maoni au ushauri wako? Karibuni Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, akisisitiza kuwa sadaka hizo haziendi mbinguni...
2 Reactions
18 Replies
383 Views
Hopefully wote mko salama. Naombeni majibu tafadhali, Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..? Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and...
14 Reactions
64 Replies
1K Views
HAIITWI โ€œKU-CHEATโ€โ€ฆ Biblia inaiita: โ€ข KUZINI โ€œUsizini.โ€ โ€” Kutoka 20:14 โ€ข UASHERATI โ€œUikimbieni zinaaโ€ฆโ€ โ€” 1 Wakorintho 6:18 โ€ข HIYANA KWA MWENZI WA UJANA WAKO โ€œBwana amekuwa shahidi kati yako na...
5 Reactions
5 Replies
191 Views
Mtakatifu Rita alizaliwa tarehe 22 Mei 1381 huko Kashia (italia). Alibatizwa akaitwa Margarita, tangu utoto wake aliazimia kumtumikia Mungu katika Konventi ya Mt. Austino huko Kashia, lakini...
4 Reactions
51 Replies
557 Views
Ni miezi sita kasoro sasa tangu ajira yangu ya mkataba Serikalini ikome. Mwezi wa nne nilifanya maombi ya mafao ya special lump sum nikiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzangu, ambao baada ya...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Leo Jumatatu Mei 25, 2026, Mwenyekiti wake wa Taifa, Tundu Lissu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kusikiliza maombi yanayohusu kuunganishwa kwake katika kesi ya mali za chama...
1 Reactions
2 Replies
193 Views
Biblia inasema Hesabu 11:21 "Lakini Musa akasema, 'Watu ninao pamoja nami ni laki sita (600,000) wanaotembea kwa miguu; nawe wasema, 'Nitawapa nyama, wapate kula kwa mwezi mzima!" Qur'ani...
0 Reactions
6 Replies
191 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ