Mabadiliko Jeshi la Polisi: Kamanda Ahmed Msangi awa Msemaji wa Polisi

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,402
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua aliyekuwa Msemaji wa Polisi, Barnabas Mwakalukwa kuwa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Pwani

Nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Makosa dhidi ya Binadamu Makao Makuu ya upelelezi Dar, Ahmed Msangi

Msangi anachukua nafasi hiyo ikiwa ni takribani miezi mitatu tangu ahamie Makao Makuu kutoka kuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza
 
Wakuuu ufafanuzi hapa nani kashuka nani kapanda
 
IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi kwa kumteua Ahmed M.jpg

Mwenye kujua anifahamishe .
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua aliyekuwa Msemaji wa Polisi, Barnabas Mwakalukwa kuwa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Pwani

Nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Makosa dhidi ya Binadamu Makao Makuu ya upelelezi Dar, Ahmed Msangi

Msangi anachukua nafasi hiyo ikiwa ni takribani miezi mitatu tangu ahamie Makao Makuu kutoka kuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza
If true, then something went wrong with DCP Ahmed Msangi.

Vv
 
Wakuuu ufafanuzi hapa nani kashuka nani kapanda
Hakuna kupanda wala kushuka hapo maana hakuna aliyeongezewa au kupunguziwa cheo. Tofauti ni kuwa Msangi ameenda kuchukua nafasi iliyoshikiliwa na afisa wa chini kuliko yeye. Mwakalukwa ni SACP wakati Msangi ni DCP. Msangi amebakisha cheo kimoja kufikia cheo cha juu zaidi cha polisi wakati Mwakalukwa amebakisha viwili.

Vv
 
Back
Top Bottom