ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,822
Kuna jamaa wanatoka nje walitaka kusajili kampuni yao hapa ila leo wamefunga vilago na kwenda kwao mazima. Tunahitaji uchumi wa viwanda ila hamna anayefanya kazi kuleta uchumi huo. Sisi kuendelea mpaka tutawaliwe tena na mkoloni watu wamesinzia hakuna mfano.
Nchi yangu Tanzania!
Nchi yangu Tanzania!