Tazama Ramani

Tazama Ramani

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Wimbo huu ni mzuri lakini hauna uhalisia,nikweli Nyerere alikomesha utumwa wa nchi?
Mi naona utumwa wa nchi yetu bado upo na umeshamiri maradufu
 
Afadhali jicho la tatu limeliona hilo.....

Sie Safari bado ndg....
 
1, Tazama ramani utaona nchi nzuri,
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya,yangekuwaje sasa,utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha x2
 
Umenikumbusha mbali mkuu... Enzi za

"zidumu fikra za mwenyekiti".....
 
Wimbo mtamu sana huu...Ukiumbaa lazima usikie uzalendo Moyonii...!!

NAKUPENDA SANA TANZANIA...
 
Wimbo huu ni mzuri lakini hauna uhalisia,nikweli Nyerere alikomesha utumwa wa nchi?
Mi naona utumwa wa nchi yetu bado upo na umeshamiri maradufu
Kaa chini utafakari mkuu

Pale unaposema TICHA JULI alikomesha utumwa ni kwamba alitupatia uhuru kutoka mikonon mwa wakolon
 
ila siku hizi tumeubadilishia jina badala ya kuuita utumwa tunaita unyonge
 
Wimbo huu ni mzuri lakini hauna uhalisia,nikweli Nyerere alikomesha utumwa wa nchi?
Mi naona utumwa wa nchi yetu bado upo na umeshamiri maradufu
Yaaap kwani mkomeshaji si alikua nyerere au! Sasa now yupo?
 
Back
Top Bottom