Hivi hii ni Aibu au Ushujaa?

Hivi hii ni Aibu au Ushujaa?

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
271
Kiukweli wanasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu...

Kipindi cha nyuma nilikua mzee wa totoz kali sana kiasi kwamba wadau wakahisi natumia ndumba kuwapata...lakini cha ajabu kila nikila tyming kuwapa kibendi nafeli..

Cha ajabu wiki iliyopita nikapata kimeo haswaa yaani naomba mnielewe ninaposena kimeo ni kimeo kweli.. kama kawaida nikapiga mzigo haswaa, siku anaondoka nikapata wazo akapime ujauzito..baada ya kipimo Matokeo yakaja kuwa tumevuna tulichopanda

Hapa sasa nangoja kejeli na dhihaka kwa wale warembo wazamani pamoja na wadau niliokuwa nawavimbia...

Ama kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu boooovu kabisa
 
Mbona haiendani??? Jina KITEGO halafu unajinasa kwenye tundu boooovu kabisa!!!
 
Kiukweli wanasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu...

Kipindi cha nyuma nilikua mzee wa totoz kali sana kiasi kwamba wadau wakahisi natumia ndumba kuwapata...lakini cha ajabu kila nikila tyming kuwapa kibendi nafeli..

Cha ajabu wiki iliyopita nikapata kimeo haswaa yaani naomba mnielewe ninaposena kimeo ni kimeo kweli.. kama kawaida nikapiga mzigo haswaa, siku anaondoka nikapata wazo akapime ujauzito..baada ya kipimo Matokeo yakaja kuwa tumevuna tulichopanda

Hapa sasa nangoja kejeli na dhihaka kwa wale warembo wazamani pamoja na wadau niliokuwa nawavimbia...

Ama kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu boooovu kabisa
Huo ushujaa.

Sisi wafungaji huwa tunashangaa pia n'gombe mwenye mbegu bora kunasa mimba utasubiri miaka.

Ila hizi za kawaida....acha tu.
 
hv unawezaje kumuita binadamu mwenzako kimeo? huyo ana wazaz kama wewe na wanampenda usijione unathamani kuliko wenzako kumbuka umavumbi wewe acha dharau ndugu, heshimu watu wote hakuna kimeo dunian
 
Kiukweli wanasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu...

Kipindi cha nyuma nilikua mzee wa totoz kali sana kiasi kwamba wadau wakahisi natumia ndumba kuwapata...lakini cha ajabu kila nikila tyming kuwapa kibendi nafeli..

Cha ajabu wiki iliyopita nikapata kimeo haswaa yaani naomba mnielewe ninaposena kimeo ni kimeo kweli.. kama kawaida nikapiga mzigo haswaa, siku anaondoka nikapata wazo akapime ujauzito..baada ya kipimo Matokeo yakaja kuwa tumevuna tulichopanda

Hapa sasa nangoja kejeli na dhihaka kwa wale warembo wazamani pamoja na wadau niliokuwa nawavimbia...

Ama kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu boooovu kabisa
Hiyo ndo mke muoe utaishi naye Kwa amani Bila stress
 
Hii ni dhahiri kabisa maana imekua kama ndoto
Huo ushujaa.

Sisi wafungaje huwa tunashangaa pia n'gombe mwenye mbegu bora kunasa mimba utasubiri miaka.

Ila hizi za kawaida....acha tu.
 
weka picha ya mama yako na dada zako tuone kama wao sio kimeo... acha dharau dogo inaonekana huyajui maisha ndo maana unaita binadam mwenzako kimeo
 
Wanafanana na ndugu zako tu mbona
weka picha ya mama yako na dada zako tuone kama wao sio kimeo... acha dharau dogo inaonekana huyajui maisha ndo maana unaita binadam mwenzako kimeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom