Sheria Mpya ya Usalama Barabarani yawataka Madereva wote wa Magari wanaosafirisha abiria Kuva Helment Kama Bodaboda

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Sheria Mpya ya Usalama.jpg
 
aisee sasa hapo imezingatiwa usalama wa dereva tu au? au maana ya hiyo ni ipi? mliopata nafasi ya kuisoma hiyo sheria tunaomba ufafanuzi
 
Bendera ya Taifa ina rangi ya dhahabu na sio Njano! Afu kuna mtu atakuja na barua ya kufuta barua ya awali!
 
Kama ni kweli serikari yetu itakuwa ya kipumbavu sana kuliko serikari ya Namibia na Burundi, Airbag zinakazi gani mpaka wawatungie sheria za kuwatoa majasho kichwani watu wapate mapunye?
 
Back
Top Bottom