Father Xmas, Amemponza mtumishi hadi kufukuza kazi

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
740
Mwalimu mmoja amepoteza kazi baada ya kuwaambia wanafunzi wake kuwa Santa Claus ama maarufu kama Father Christmas hayupo ulimwenguni.

Mwalimu huyo alikuwa akifundisha darasa la kwanza huko New Jeaarsey nchini Marekani

Santa Claus au Santa kwa ufupi ni hekaya ya zamani ( mfano hapa kwetu; ni hekaya ya ABUNUASU, ESOPO, etc)ambayo yadaiwa babu huyo mwenye ndevu nyeupe zinazofika tumboni na ambaye huvalia mavazi meupe na mekundu na kofia kuwapatia zawadi watoto watiifu katika mkesha wa asubuhi wa siku ya Christimas

Source: Mwalimu afukuzwa kazi kisa 'Father Christmas'
 
Usidhalilishe taaluma ya ualimu kwa lengo LA kufurahisha nafsi yako na wanajamii Forum, hakuna mtaala duniani unaofundisha kuhusu Father Christmas's hivyo hakuna mafundisho hayo mashuleni. Hiyo taarifa umeitunga kujpunguzia stress,
 
Kule Mexico Kuna muendelezo wa hii hekaya ya Santa Claus kwamba alikuwa ana msaidizi wake akiitwa Pedro el Negro yaan Black Peter ambaye alikuwa amepewa orodha ya wale watoto watukutu na Santa.MaDon wa ngada ukiwazingua wanakutumia Black Peter wako.
 
Usidhalilishe taaluma ya ualimu kwa lengo LA kufurahisha nafsi yako na wanajamii Forum, hakuna mtaala duniani unaofundisha kuhusu Father Christmas's hivyo hakuna mafundisho hayo mashuleni. Hiyo taarifa umeitunga kujpunguzia stress,
Rejea: link ipo apo apo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom