Alisema atakuja kukomesha maovu yao na kuwatia nyuso zao aibu na siku ya chrismass ndiyo siku kuu ya maovu katika mwaka.Lengo lako ni kuuliza swali jambo ambalo ni jema,lakini umeharibu kwa kuanza na mataputapu eti Yesu atarudi christmas.
Kwa taarifa yako: "hakuna aijuaye siku wala sasa..."
Soma Biblia kijana sio unafuata mihemuko yako au ya kiongozi wako wa dini.
YOU ARE LOST.
Kuhusu swali lako, watakoenda Mbinguni ni walewale hata kama Yesu atarudi Christmas,Pasaka au Eid.
"shika sana ulichonacho...."
Wakati anasema ulimsikia !!?Alisema atakuja kukomesha maovu yao na kuwatia nyuso zao aibu na siku ya chrismass ndiyo siku kuu ya maovu katika mwaka.