Dr Askofu Alex malalusa akerwa na talaka kwa wakristo...

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Askofu wa kkkt dayosisi ya mashariki na pwani Dr Alex malasusa amesikitishwa na jinsi waumini wa kikristo wanavyopeana talaka..ameyasema hayo Leo 25/12/2018 katika misa ya kusherehekea maazimisho ya kuzaliwa yesu kristo katika kanisa la azania front jijini dsm.
"Leo hii wanandoa hawana uhakika wakufika uzeeni hii inakiuka kabisa na maamrisho ya Mungu"
NB:Mwenyezi Mungu kupitia kitabu chake aliona mbali ndio maana alihalalisha kuoa na kutoa talaka pale inapobidi...
 
Ivi kumbe wapuuz bado mpo! mungu amekataa kuua sasa kwanini watu wanauana na kuua wenzao bila hatia au hapo hakuona mbali

NYWANOKO BHEBHE
 
Ivi kumbe wapuuz bado mpo! mungu amekataa kuua sasa kwanini watu wanauana na kuua wenzao bila hatia au hapo hakuona mbali

NYWANOKO BHEBHE
Mwenyezi Mungu ameweka taratibu za kuua MTU mwenye aina Fulani ya makosa..km kuna MTU anaua bila MTU kuwa na hatia ilo ni jambo lingine,Mungu hatambui na watapata hukumu yao..
 
Mwenyezi Mungu ameweka taratibu za kuua MTU mwenye aina Fulani ya makosa..km kuna MTU anaua bila MTU kuwa na hatia ilo ni jambo lingine,Mungu hatambui na watapata hukumu yao..
Bas na wewe UA ili uwah bikira zako ulizoahidiwa
 
Ivi kumbe wapuuz bado mpo! mungu amekataa kuua sasa kwanini watu wanauana na kuua wenzao bila hatia au hapo hakuona mbali

NYWANOKO BHEBHE
Pia haki za Mungu hawaioni za kukataza hayo na kuzitukuza haki za binaadam za kuhalalisha ushoga
BANYANA GETE
 
Back
Top Bottom