Kama mmepunguza kiwango cha mafao ya wastaafu ili kuwalinda na matumizi mabaya ya pesa, vipi wacheza kamari?..

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Hizi ni baadhi ya michezo ya kamari inayoendelea nchini ni kuteketeza mabilioni ya pesa toka mifukoni mwa Watanzania:-

BIKO, TATU MZUKA, MOJA SPESHO, SUPER TANO, VODACOM, MERIDIAN BETS, SOKA BETI, SPORTS PESA, MAMILIONI YA GUDUGUDU ZA WACHINA n.k.

Serikali ilitetea uamuzi wake kuwa moja yj sababu ya kupunguza kiwango cha mafao ya wastaafu wake ni kuwafanya wasiwe na matumizi rough yakamaliza mafao yao na kuwaletea vifo vya mapema.

Swali ni, Kama hiyo hoja ina mantiki, vipi hawa walevi wa kucheza kamari wanaoteketeza mamilioni ya pesa na kubaki mafukara,
 
Mkuu unawajua majambazi halali?? Walio pitisha hiyo sheria na chama Chao wanajua lengo lao na hao ni majambazi/ wakabaji waliojihalalisha!
 
Serikali ingeyafutia leseni makampuni yote Binafsi ,michezo yote ya kubet ingeendeshwa na serikali pesa zinazopatikana tujengee SGR,Stiglier,Dreamliner na madarasa.Ingependeza zaidi.
 
Serikali ingeyafutia leseni makampuni yote Binafsi ,michezo yote ya kubet ingeendeshwa na serikali pesa zinazopatikana tujengee SGR,Stiglier,Dreamliner na madarasa.Ingependeza zaidi.
Shida ni kuwa ukishinda hata buku 10 itakubidi kusubiri wiki 2 vocha ya malipo zikasainiwe hazina kwanza. Ukipiga zaidi ya laki hiyo pesa hutakuja kulipwa walahi.
 
Back
Top Bottom