Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Prof. Mkilaha wa Engineering UDSM (Director General, Atomic Energy in Arusha and Chairman of SUMATRA Board of Directors) amejipiga risasi kwa bahati mbaya wakati akisafisha pistol yake akiwa nyumbani kwake Dar na kufariki.
Mungu amlaze mahali pema peponi!!
RIP PROF.