SI unit ya IQ ni nini?

SI unit ya IQ ni nini?

Kategele

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
1,086
Reaction score
2,533
Habari wana Jf mwenye uelewa wa Calculations na SI units za IQ ya binadamu naomba atujuze.

Cc Zero IQ njoo utupe msaada ulicalculate vipi ukapata hiyo Zero.
 
Habari wana Jf mwenye uelewa wa Calculations na SI units za IQ ya binadamu naomba atujuze.

Cc Zero IQ njoo utupe msaada ulicalculate vipi ukapata hiyo Zero.
There does not exist an SI unit of intelligence.

Intelligence is a very controversial topic in terms of just agreeing on what it is—even how many different forms or categories it takes on. Without a clear concept or definition as to what intelligence is, trying to measure and quantify it has very questionable meaning.

SI focuses on measuring things that have been historically important in quantifying, such as fair trade in terms of length, area, volume, and mass/weight,

Quora[emoji3516]

But since IQ is in fact, a ratio of a person's mental age to their chronological age, ukizidisha kwa 100 (to keep it clean - in intergral form) the SI unit yake tuiite 'Points'
 
Naona umeibeba post ya huko Quora.

Ulichoongezea hapo bado hakimake sense sana!! Trying to quantify something which, by nature is, subjective is something hard. Ni Sawa na kutaka ku quantify uzuri (urembo) wa mwanamke!! There is no unit for urembo! Kila mtu anakigezo chake au vipo vichache tunavyoshare (subjectivity).

Hivyo mimi bado nakubaliana na jibu la huyo professor huko Quora kuwa there is no such a thing.
 
Ya quorq nmeionesha kabisa ipo hko juu,chini nmeongezea kwa sources zangu bnafsi na maarifa,
Haiwez kumake sense kwa kila mtu ndo maana haina SI unit.
 
IQ is ratio of metal age (in years and months) over chronological age (in years and months) multiplied by 100. hence a unitless number.
pia ni vema ungeuliza "unit" na sio "SI unit"
 
Hata hivyo hakuna kitu kama IQ ni porojoporojo tu ili kutofautisha watu.
Unaweza kukuta Mr Bean ana IQ kubwa kuliko hata Einstein. Ndio maana hakuna si unit yake
 
Hata hivyo hakuna kitu kama IQ ni porojoporojo tu ili kutofautisha watu.
Unaweza kukuta Mr Bean ana IQ kubwa kuliko hata Einstein. Ndio maana hakuna si unit yake
Hahaha unasema HAKUNA kitu kama IQ halafu unasema "Mr Bean anaweza kuwa na IQ kubwa kuliko Einstein!" Ebu rudia kusoma ulichoandika.
Ungesema "hakuna kitu kinaitwa IQ ni porojo tu."
 
kwa kawaida ukigawanya namba mbili zenye SI unit sawa kinachopatikana kinakuwa hakina SI unit bali ratio. Ukizidisha kwa mia inakuwa kwenye %
Somo la error and dimensions, physics ya advance
 
Hahaha unasema HAKUNA kitu kama IQ halafu unasema "Mr Bean anaweza kuwa na IQ kubwa kuliko Einstein!" Ebu rudia kusoma ulichoandika.
Ungesema "hakuna kitu kinaitwa IQ ni porojo tu."
Mfano huo ni kwa wanaoamini uwepo wa IQ sio nisiyeamini. Ili kuwasaidia wasitegemee hizo takwimu maana zinaweza kupotosha au kukufanya ujione mnyonge na kilaza kumbe sio kweli
 
Mfano huo ni kwa wanaoamini uwepo wa IQ sio nisiyeamini. Ili kuwasaidia wasitegemee hizo takwimu maana zinaweza kupotosha au kukufanya ujione mnyonge na kilaza kumbe sio kweli
Kwahiyo unashauri hata tusiwaze uwepo wa IQ kwasababu utagundua kuna watu wanakuzidi au utagundua una IQ kidogo na utajiona mnyonge. Lakini kama IQ ipo mawazo yako yatabadili nini? Ni kama mtu mmoja alisema ukiwa na HIV lakini usipojua unayo utakuwa healthy, ila ukijua unaweza kufa kwa kihoro cha kujua tu kwamba wewe ni mgonjwa/muathirika wa HIV, yani unaishi kwa kujinyima kuufahamu ukweli kwasababu unauogopa.Unajiweka sirini voluntarily. Hili nalikubali lakini hata usipojua/fahamu ukweli kama upo, upo tu.
 
Kwahiyo unashauri hata tusiwaze uwepo wa IQ kwasababu utagundua kuna watu wanakuzidi au utagundua una IQ kidogo na utajiona mnyonge. Lakini kama IQ ipo mawazo yako yatabadili nini? Ni kama mtu mmoja alisema ukiwa na HIV lakini usipojua unayo utakuwa healthy, ila ukijua unaweza kufa kwa kihoro cha kujua tu kwamba wewe ni mgonjwa wa HIV, hili nalikubali lakini hata usipojua kama lipo lipo tu.
kama ishu ni ushauri.
Naamini uumbaji (Creation).
1:Mwanadamu aliumbwa mkamilifu kabisa.
2:Baada ya kuhitilafiana na muumba wake ile laana ilishusha uwezo na kuathili kila kitu kinachomzunguka.
3:Kuanza kuwabagua na kuwapima watu kwa misingi ya IQ na kuamini matokeo hayo naona ni porojo. Wote ni corrupt, na rate ya corruption kati ya mtu na mtu haipimiki kwa sababu leo unaweza kudhani mimi mjinga kumbe sio kweli nimeamua tu kuzima baadhi ya faculty zangu kichwani ili kuadapt mazingira flani. au mazingira, resource availability etc.agility hii inasbabisha vipimo hivyo kuwa ni vya kisiasa zaidi kwa maoni yangu.
natoa changamoto tu, maneno yangu sio msahafu.
 
Back
Top Bottom